MSAFARA wa timu ya Yanga umewasili salama jijini Mwanza
tayari kwa kuwakabili Mwadui keshokutwa Jumamosi huko Shinyanga lakini kubwa
zaidi ni ishu ya ‘Wakimataifa’ hao kukodi daladala aina ya vipanya.
Ishu hiyo ilitokea asubuhi ya leo ambapo Yanga ilisafiri
alfarjiri kutoka Dar es Salaam kwa ndege ya Fastjet lakini walipofika Mwanza
hawakukuta basi ambao lilikuwa likitarajiwa kuwapeleka hotelini na kisha Shinyanga
kwa ajili ya michezo miwili ya ligi kuu, mmoja ukiwa dhidi ya Mwadui
utakaopigwa keshokutwa Jumamosi na mwingine dhidi ya Stand United.
Baada ya kuona basi lao halijafika, Yanga walilamzika kukodi
daladala aina ya vipanya tatuambazo ziliwapeleka hotelini wakisubiri basi la timu
liwapeleke Shinyanga!
Vipanya ni daladala ndogo ambazo kwa Dar zimezuiwa kufanyakazi
katikati ya jiji na kwenye barabara kubwa hivyo zinaonekana zaidi maeneo ya
ndanindani mwa jiji.
Related Posts
- Tumewasikia, tunawathamini, tunawapenda, tutarejea14 May 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- Caf kuilipia Yanga mishahara25 Dec 20160
YANGA inahesabu siku tu kabla ya kuanza kuogelea mamilioni ya fedha za Shirikisho la Soka barani...Read more »
- Tatizo la Okwi kwishnei Simba25 Dec 20160
BADO mashabiki wa Simba wanaendelea kumkumbuka straika wao Mganda, Emmanuel Okwi, kutokana na ka...Read more »
- Kocha wa Wacomoro atamba kuibania Yanga Caf24 Dec 20161
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- Wakala: Ajibu hawezi kucheza popote, anawatikisa Simba tu24 Dec 20160
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- SIMBA WANACHEEEEEEEEEEEEKAAAAAAAAAAAAA24 Dec 20160
SARE ya bao 1-1 waliyoipata Yanga jana dhidi ya African Lyon kwenye Uwanja wa Uhuru, imezidi ku...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.