May 11, 2025 12:02:31 PM Menu




STRAIKA wa Azam, John Bocco amefanikiwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Agosti wa Ligi Kuu Bara.
Bocco ambaye mpaka sasa ameifungia Azam FC mabao matatu kwenye ligi kuu, amefanikiwa kuibuka na ushindi huo akiwapiku Mzamiru Yasini wa Simba na Saidi Kipao wa JKT Ruvu.
Mshambuliaji huyo ameisaidia Azam mpaka sasa kuwa katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu, akiiongoza kushinda michezo mitatu kati ya mitano waliyoshuka dimbani huku wakitoka sare mmoja na kupoteza mmoja. Hongera John Raphael Bocco.
Wakati huohuo, Mabigwa wa Cecafa Women Challenge, Kilimanjaro Queens watawasili kesho saa saba mchana kwa ndege ya Fast Jet, mara baada ya kuwasili timu hiyo itapata chakula cha mchana katika Hoteli ya Coartyard Seaview.
21 Sep 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top