May 3, 2025 08:49:50 PM Menu



 
Kikosi cha Kilimanjaro Queens kimetinga katika fainali ya Kombe la kwanza la Chalenji kwa wanawake baada ya kuwatwanga wenyeji wa michuano ya hiyo Uganda kwa mabao 4-1.
Ushindi huo sasa unaikutanisha Kilimanjaro Queens katika mechi ya fainali dhidi ya Kenya ambao wamefanikiwa kutinga baada ya kuwang’oa Ethiopia kwa kuwachapa mabao 3-2.



Mabao ya Kilimanjaro yalifungwa na Donosia Daniel, Mwanahmisi Omari dakika ya 17 na Stumai Abdallah (31) na la mwisho lilifungwa na Asha Rashid ‘Mwalala’.
18 Sep 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top