May 11, 2025 10:30:37 PM Menu




JESHI LA SIMBA

BENCHI la ufundi la Simba limetangaza majina ya wachezaji watakaoanza na wale wa akiba kwenye mchezo wa leo dhidi ya Majimaji unaotarajiwa kuanza saa 1:00 Jioni.
Mchezo huo ambao ni wa ligi kuu, ikiwa Simba watashinda basi watazidi kuendelea kukaa kileleni na iwapo Majimaji wakishinda watafanikiwa kupanda kwa nafasi moja kwenye msimamo kutoka ya mwisho hadi ya pili kutoka mwisho, lakini pia utakuwa mchezo wao wa kwanza kushinda msimu huu

1.Vicent Angban
2. Janvier Bokungu
3. Mohamed Hussein
4. Juuko Murshid
5. Method mwanjali
6. Jonas mkude
7. Shiza kichuya
8. Muzamir Yassin
9. Laudit mavugo
10.Ibrahim ajib
11.Jamal Mnyate
 Akiba
1. Peter manyika
2. Novart Lufunga
3. Abdi Banda
4. Mohamed Ibrahim
5. Hijja Ugando
6. Said ndemla
7. Ame Ally


24 Sep 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top