May 10, 2025 04:58:07 AM Menu




TIMU ya mpira wa pete ya Wabunge jana iliwachapa TBC kwa magoli 15-14 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Kivutio kikubwa katika mchezo huo ilikuwa ni mchezo mzuri na wa ushindani ulioonyeshwa na timu zote huku wabunge ambao wamekuwa wakijibishana bungeni wakionekana kucheka pamoja, kweli michezo ni furaha.
Pia kulikuwa na mchezo wa soka ambapo Wabunge wa Simba walichapwa mabao 5-2 dhidi ya wale wa Yanga. Michezo hiyo ilikuwa ni maalum kwa ajili ya kuchangia tetemeko lililotokea mkoani Kagera hivi karibuni.

26 Sep 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top