Beki wa
klabu ya soka ya Yanga Juma Abdul Jafar pamoja na beki wa klabu ya Simba
Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ wametajwa kuwania tuzo za mchezaji bora Tanzania
bara pamoja na Shiza Kichuya wa Mtibwa Sugar.
Waliopendekezwa
kuwania tuzo ya mchezaji bora wa ligi ni:
1.Shiza
Kichuya (Mtibwa Sugar)
2.Juma Abdul
(Yanga)
3.Mohamed
Hussein (Simba)
Kwa upande
wa kipa bora ni:
1.Aishi
Manula (Azam)
2.Beno
Kakolanya (Tanzania Prisons)
3.Deogratius
Munishi (Yanga)
Kocha bora:
1.Hans Van
Pluijm (Yanga)
2.Mecky
Maxime (Mtibwa Sugar)
Salum
Mayanga (Tanzania Prisons)
Tuzo ya mchezaji bora chipukizi:
1.Farid
Mussa (Azam),
2.Mohamed
Hussein (Simba)
3.Mzamiru
Yasin (Mtibwa Sugar)
4.Shiza
Kichuya (Mtibwa Sugar)
Waliongia
kwenye orodha ya tuzo ya mchezaji bora wa kigeni:
1.Donald
Ngoma (Yanga),
2.Thabani
Kamusoko (Yanga)
3.Vincent
Agban (Simba).
Waamuzi bora katika kinyang’anyiro
hicho ni:
1.Anthony
Kayombo
2.Ngole
Mwangole
3.Rajab
Mrope.
Tuzo hizo zimepangwa kufanyika Julai 17, 2016.
Post a Comment