April 11, 2025 12:44:08 PM Menu





KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Poland Adam Nawalka ametangaza kikosi cha wachezaji 28 ambacho kitapunguzwa na kubakia na wachezaji 23 watakaoiwakilisha nchi hiyo katika michuano ya Ulaya Euro 2016,itakayofanyika nchini Ufaransa kuanzia Juni 10 na kufikia tamati Julai 10.

Katika kikosi hicho cha awali Nawalka amewatema wakongwe Sebastian Mila (Lechia Gdansk) na Lukasz Szukala (Osmanslispor) na kumjuisha kwa mara ya kwanza kinda wa Benfica ya Ureno Pawel Dawidowicz,20.Nahodha Robert Lewandowski anayekipiga katika klabu ya Bayern Munchen pia amejumuishwa.
14 May 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top