Bifu la Harmonize na Team Wema Lachafua Hali ya Hewa
Kuna bifu kubwa sana limeibuka kati ya msanii wa Wasafi Harmonize na team Wema baada ya Harmonize kutoa freestyle yenye maneno ya kumkashifu Wema Sepetu.
Kijana Harmonize mpaka sasa anaoga matusi yote ya dunia hii kutoka kwa team Wema.
“sista duu usitoe mimba ukaja kulia kama Sepetu ” – Harmonize
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.