April 11, 2025 12:26:22 PM Menu



KLABU ya West Ham imemtengea nafasi beki wa Manchester United, Chris Smalling,wakitaka kumsajili kwenye majira ya joto.


                        
                                                 SMALLING AKISHANGILIA
Smalling msimu huu amekuwa kwenye kiwango kizuri na kumfanya achukue Tuzo ya Mchezaji Bora wa Klabu. Kwa mujibu wa ripoti zinasema kuwa Hammers wapo tayari kutoa pauni milioni 20 ili waweze kumnyaka nyota huyo.
                                                                   SMALLING
04 May 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top