Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Ligi Kuu ya Shirikisho la Soka (TFF)
imezipongeza timu za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kushiriki na kufanya
msimu wa Ligi Kuu Bara kuwa ya Vodacom 2015/16 kuwa wenye mafanikio.
Bodi hiyo imezifahamisha klabu zitakazoshiriki
Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2016/17 kuwa mchakato wa wa utengenezaji
kanuni umeanza.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.