April 10, 2025 07:22:40 AM Menu




BEKI wa Simba Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' tayari amesaini mkataba wa miaka miwili leo wenye thamani ya Sh 40 milioni.

Beki huyo amesaini mkataba huo baada ya kufanyika makubaliano ya awali yaliyofanyika wiki iliyopita chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hans Poppe ambapo leo mkataba wake ameusaini chini ya Rais wa Simba, Evans Aveva.
24 Nov 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top