KIPA Daniel Agyei leo ametua tayari kwa kuanza mazungumzo na
Simba ili aweze kujiunga na kikosi hicho kwenye mzunguko wa pili wa ligi kuu
Bara.
Kipa huyo alionyesha uwezo mkubwa alipocheza na Yanga kwenye
michuano ya Kombe la Shirikisho hatua ya makundi katika mchezo uliopigwa Uwanja
wa Taifa na mechi kuisha kwa sare ya bao 1-1.
PICHA: Boiplus
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.