April 9, 2025 12:53:45 PM Menu




Kiungo mpya wa Yanga kutoka Zesco ya Zambia, Justine Zulu amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Yanga.
Usajili wa Zulu ni ishara kwamba Yanga wanapaswa kuachana na mchezaji mmoja wa kimataifa ili kukidhi kanuni ya ligi kuu inayozitaka timu kusajili wachezaji wa kigeni wasiozidi saba.
Wachezaji wa kimataifa ndani ya Yanga ni beki Vicent Bossou, viungo Mbuyu Twite, Haruna Niyonzima na Thaban Kamusoko na washambuliaji Donald Ngoma, Amissi Tambwe na Obrey Chirwa.
01 Dec 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top