MATIZI YA AZAM ACHA KABISA
Mazoezi ya kwanza ya wiki ya kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kujiandaa na mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya African Lyon, utakaofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Jumapili hii saa 10.00 jioni.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.