Home
»
BETTING TIPS
»
BURUDANI
»
KIMATAIFA
»
KITAIFA
»
MAKALA
»
TETESI
» Tumewasikia, tunawathamini, tunawapenda, tutarejea
Tumepokea
simu nyingi, ujumbe mfupi mwingi kuhusiana na ukimya wa http://spotiripota.blogspot.com/ ambapo
kila mdau alikuwa anaamini kuwa ni sehemu sahihi ya kupata habari za ukweli na
uhakika hususan zile za michezo na burudani.
Labda tuwatoe
hofu, ukimya huu unamaana kubwa, hivyo subira inahitajika kwani kuna baadhi ya
vitu vinafanyiwa kazi na vikiwa sawa tutarejea hewani, najua baadhi yenu
mnakata tamaa kutokana na ukimya wa muda mrefu, niwaombe msife moyo, hivi
karibuni tutarejea hewani na kuwahabarisha zaidi ya ilivyokuwa awali.
Tunashukuru
licha ya ukimya tangu Desemba 25, mwaka jana lakini mmekuwa mkizidi kutembelea
blog hii na tumeona followers mkizidi kuongezeka, inatunipa moyo sana lakini
pia inatuumiza kuona mnaijali blog yenu ilhali hakuna kitu kipya tunachopost kwa
ajili ya kuwahabarisha kwa miezi mitano sasa.
Related Posts
- MKEKA…MZIGO WETU LEO UPO HIVI12 Nov 20160
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- WIKIENDI HII, MKEKA WANGU HUU HAPA29 Oct 20160
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- Yanga yatua kibabe Mwanza18 Oct 20160
Yanga SC imewasili salama jijini Mwanza tayari kuwavaa Toto Africa katika dimba kongwe la CCM Kir...Read more »
- Ali Kiba apewa tuzo ya The Best Celebrity Player Award, Uganda18 Dec 20160
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- Mwanaume mwenye mvuto zaidi duniani huyu hapa16 Nov 20160
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- Picha za modo Blac Chyna akiwa na mwanaye12 Nov 20160
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.