May 1, 2025 03:13:14 AM Menu



KUFUATI straika wa Yanga, Amissi Tambwe kufunga bao la mkono kwenye mechi ya timu hiyo dhidi ya Simba wikiendi iliyopita, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Simba, Zacharia Hans Poppe amemtaka mshambuliaji huyo kuomba radhi.
Mara baada ya Tambwe kufunga bao hilo wadau wengi walilifananisha bao hilo kama yale waliyofungwa wakali Diego Maradona alipokuwa akiitumikia Argnentina dhiai ya England na lile ya thiery Henry alipokuwa akiichezea Ufaransa dhidi ya Ireland. 
 Akizungumza ishu hiyo, Hans Poppe alisea: “Kama wanafananisha na mabao hayo basi Tambwe aombe radhi pia kwa kuwalaghai watu walioingia uwanjani, pia kwa kuwafanyia Simba kitendo kisicho sahihi. Maradona na Henry waliomba radhi. Angeweza kuwa muungwana hata kidogo.”
Katika mchezo huo ambao Yanga walikuwa nyumbani uliisha kwa sare ya bao 1-1.
05 Oct 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top